Fikia uwezo wako wa kuwekeza kikamilifu
Fanya biashara ya dhahabu, mafuta,
viashiria na crypto bila wasiwasi
Mkakati wako unastahili masharti bora ya biashara — kwa sababu kila biashara ina umuhimu.
• Toa fedha papo hapo
Zifikie fedha zako kwa urahisi, wakati wowote.¹
• Misambao ya chini na thabiti
Uwekezaji madhubuti wenye misambao midogo kuanzia pips 0.
• Utekelezaji wa haraka
Oda inachukua sehemu ya sekunde.
• Hakuna kamisheni
Fanya biashara bila kamisheni kwenye akaunti zetu za Pro na Standard.
• Wekeza bila riba
Wateja wote hawatozwi ada kwa kwa kushikilia nafasi usiku kucha.
• Huduma ya msaada ya moja kwa
Una maswali? Jibu lipo daima kupitia huduma ya usaidizi wa kitaalamu.
Wekeza na dalali anayeaminika kimataifa
Ahadi yetu kwa wateja na washirika inaonekana wazi kupitia takwimu.
Tunaupa umbele usalama wako
Tunalinda faragha yako kwa kutumia hatua za usalama za hali ya juu, kuhakikisha fedha na malipo yako yako salama. Kwa ulinzi wetu wa salio hasi, unaweza kufanya biashara kwa kujiamini.
Maswali Yanayoulizwa Mara Nyingi
1
Unawekaje pesa?
Ili kuweka pesa kwa mara ya kwanza, fuata hatua hizi:
- Ingia katika Eneo lako Binafsi (PA).
- Nenda kwenye Fedha -> kitufe cha Kuweka Fedha.
- Chagua akaunti ya biashara ambayo ungependa kuongeza fedha.
- Chagua njia ya malipo unayopendelea kutoka kwenye orodha ya machaguo yanayopatikana. Zingatia tofauti katika kiwango cha chini na cha juu kwa kila muamala na muda wa wastani wa uchakataji.
- Jaza maelezo yako ya malipo (fuata maelekezo na vidokezo vya njia uliyochagua).
- Bainisha kiasi cha fedha inayowekwa katika sehemu ya kiasi. Kiasi unachopaswa kuwa nacho katika akaunti yako ya malipo ukizingatia kiwango cha ubadilishaji fedha kitaonyeshwa katika sehemu ya “Kiasi Kitakachowekwa” (ikiwa inatumika).
- Bofya kitufe cha Kuweka Fedha. Utaelekezwa kwenye ukurasa wa uchakataji wa malipo ambapo unapaswa kujaza fomu ya kuweka fedha na kuthibitisha muamala.
2
Unatoaje pesa?
Tembelea tovuti yetu na uingie kwenye Eneo lako Binafsi kwa kutumia utambulisho wako. Fuata hatua hizi:
- Nenda kwenye Fedha -> Kutoa Fedha: Kwenye menyu ya kushoto, chagua Fedha kisha uchague Kutoa Fedha.
- Chagua akaunti yako ya biashara: Chagua akaunti ya biashara ambayo unataka kutoa fedha.
- Chagua Njia ya Kutoa Fedha: Bofya sehemu ya “Njia ya Kutoa Fedha” kisha uchague mojawapo ya njia zinazopendwa zilizoorodheshwa. Hakikisha unajaza maelezo yote muhimu kwa usahihi.
- Thibitisha Kiasi cha Fedha Unazotoa: Kiasi kinachopatikana kwa ajili ya kutolewa kitaonyeshwa chini ya eneo la Kiasi.
- Anzisha Utoaji wa Fedha: Mara baada ya maelezo yote kujazwa, bofya kitufe cha Kutoa Fedha. Idara yetu ya Fedha itashughulikia ombi lako la kutoa fedha.
3
Mchakato wa utoaji wa fedha unachukua muda gani?
Maombi yote ya kutoa fedha yanashughulikiwa na Idara yetu ya Fedha, ambayo inahakikisha kuwa kila muamala unakaguliwa kwa uangalifu ili kuzuia akaunti yako kufikiwa na wahusika wengine wasioidhinishwa. Mchakato huu unahakikisha usalama wa hali ya juu kwa bajeti yako.
Kumbuka: Katika JustMarkets, tuna mchakato wa kutoa na kuweka fedha kutoka kwetu papo hapo (ndani ya dakika 1). Hata hivyo, ucheleweshwaji kutoka upande wa mtoa huduma unaweza kutokea katika visa fulani.
4
Mnakubali njia gani za malipo?
JustMarkets hutoa machaguo mengi kutoa fedha. Unaweza kuweka pesa kupitia pochi za kielektroniki (e-wallet), kadi za benki, njia za malipo za eneo husika, WIRE n.k. Angalia njia zote za malipo zinazopatikana hapa.
5
Jinsi ya kutumia programu ya biashara ya simu ya JustMarkets?
Pakua programu kutoka duka la programu yako, ingia au tengeneza akaunti, na anza kufanya biashara kwa kupata ufikiaji wa zana zote na vipengele kwenye jukwaa letu.
6
Je, naweza kusimamia eneo langu binafsi kwenye programu ya JustMarkets?
Ndio, unaweza kusimamia Eneo Lako Binafsi moja kwa moja ndani ya programu. Hii inahusisha kujiandikisha, kuunda, na kusimamia akaunti zako, pamoja na kuboresha maelezo binafsi kwa ubofyaji chache tu.
7
Jinsi ya kuweka na kutoa pesa kupitia programu?
Kuweka na kutoa fedha kupitia programu ya JustMarkets ni rahisi na moja kwa moja. Kwanza, nenda kwenye sehemu ya Kuweka au Kutoa, kisha chagua akaunti ya amana inayokufaa, halafu chagua njia yako ya malipo unayopendelea, na hatimaye, kamilisha miamala yako kwa kufuata maagizo yaliyopo kwenye skrini.